"Jinsi Ya Kutokomeza PID, UTI Sugu Na Fangasi Sugu Bila Ya Kuchoma Sindano."

Hello habari yako, natumaini unaendelea vizuri.

Leo tujifunze tiba ya mwanzo kujitibia ukiwa nyumbani kwa changamoto ya PID, UTI sugu na Fangasi sugu. Ungana nami katika somo hili.

Andaa vitu vifuatavyo;

  • Nanasi 1

  • Ndizi Mbivu 2

  • Tango 1

  • Apple 1

  • Nyanya 3

  • Limao 1

  • Nazi 1

  • Spinach/mchicha fungu

Kisha, saga kwa pamoja mchanganyiko huo hapo juu upate juisi yake, utakunywa juisi hiyo glasi moja asubuhi kabla ya kula na glasi nyingine jioni nusu saa baada ya kula ndani ya siku 14. Matokeo utaanza kuyaona siku ya 7. Hakika kuna ahueni fulani utakuwa umepata.

Kumbuka: Usitumie sukari ndani ya hizo siku 14 badala yake kwenye juisi yako unaweza kuweka asali mbichi.

Hiyo Juisi hapo juu utakayotengenza itakusaidia mambo yafuatayo;

  • Kukata harufu kali inayotoka ukeni

  • Kukata uchafu unaotoka ukeni

  • Kuongeza ute ukeni

  • Kukata miwasho sehemu za siri

  • Kuimarisha kinga ya mwili

Mambo mengine ya kuzingatia wakati unatumia hiyo juisi ni pamoja na;

  • Kunywa maji mengi kila siku walau glasi 8 mpaka 10

  • Tumia vyakula vyenye vitamini B,C,D,E kwa wingi

  • Epuka kutumia pafyumu, sabuni zenye kemikali wakati wa kujisafisha ukeni badala yake tumia maji safi na salama

  • Jiweke msafi muda wote (tawaza baada ya haja kubwa kutoka mbele kwenda nyuma)

By the way hivi ni unajua kwamba, dawa ya asili iitwayo PANACEA itakusaidia kutokomeza kabisa changamoto yako ya PID, UTI sugu na Fangasi sugu?

Ndiyo ni kweli, kupata dawa hiyo kulingana na changamoto yako bonyeza link husika hapa chini: