Sikoseli Ni Ugonjwa Gani?

Sikoseli ni ugonjwa wa kurithi unaoathiri seli nyekundu za damu, ambapo seli hizi hubadilika kutoka kwenye umbo la kawaida la mviringo na kuwa na umbo la “sickle” (mundu).

Ugonjwa huu husababishwa na jeni ya beta-globin iliyoharibika, ambayo mtu hupata kutoka kwa wazazi wake. Watu wenye sikoseli wanarithi jeni hii kutoka kwa wazazi wote wawili, na hivyo kuathiri uzalishaji wa hemoglobin, protini inayobeba oksijeni kwenye seli nyekundu za damu.

Je ungependa kujifunza zaidi kuhusu sikoseli?

Kama jibu ni NDIYO, bonyeza hapa: Yajue Mambo 7 Muhimu Kuhusu Ugonjwa Wa Sikoseli.