- Dr. ISAYA FEBU Newsletter
- Posts
- Nafasi Za Kazi Ya Kusambaza Taarifa Za Kampuni.
Nafasi Za Kazi Ya Kusambaza Taarifa Za Kampuni.
Wanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company Limited.
Taarifa za huduma inayotolewa na kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi/ Smart phone.
NOTE:
* Nilazima uwe na simu kubwa/ Smart phone
* Uwe Dar es salaam tu
* Uwe na bidii ya kazi
* Elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo
MALIPO:
* Malipo yapo ya aina mbili (Malipo ya kila siku na kila mwisho wa mwezi) yote utapata.
* Kima cha chini kwa malipo ni (Kwa siku 20,000/= na kwa mwezi ni 350,000/=)
Wote mnakaribishwa, Ofisi ipo Majumba sita kama unaenda Banana stand.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0653211873
Au tuma ujumbe wa neno “KAZI” Kwa kubonyeza link hapa chini.