- Dr. ISAYA FEBU Newsletter
- Posts
- Kwanini Mwanaume Anakuwa Na Uume Mdogo? (Kimtaa Wanaita kibamia)
Kwanini Mwanaume Anakuwa Na Uume Mdogo? (Kimtaa Wanaita kibamia)
Uume mdogo (kibamia):
Uume mdogo (kibamia) ni hali ya mwanaume kuwa na dhakari yenye urefu chini ya Inchi 4. Kwa sababu size sahihi ya dhakari ya mwanaume ni Inchi 5 mpaka 7. Kwa hiyo ukiwa chini ya hapo tunahesabu unakibamia, na urefu huu wa dhakari hupimwa ikiwa imesimama.
SABABU ZA KUWA NA KIBAMIA YAANI UUME MDOGO:
Urefu wa uume kwa wastani unatakiwa kuwa na urefu wa inch 5 mpaka 7 ukiwa umesimama
Uume huongezeka size katika vipindi tofauti vya ukuaji wa mwanaume.
Uume unakuwa haraka kuanzia mwanaume anapozaliwa mpaka anapofikisha umri wa mwaka mmoja.
Baada ya hapo mpaka miaka 11 ukuaji unapungua, anapofikia umri miaka 12 uume hunaanza tena kukua kwa kasi.
Uume mdogo kitaalamu Unaitwa "Micropenis" ni tatizo linalojitokeza tangu utotoni.
Sababu kuu ya kuwa na uume mdogo ni hitalafu katika uzalishaji wa homoni ya testosterone wakati wa ujauzito.
Na hata baada ya kuzaliwa kiwango cha homoni kikiendelea kua chini uume nao hupungua.
Uume huanza kutengenezwa kuanzia wiki ya 8 na hukamilia wiki ya 24 mtoto akiwa tumboni.
Katika mchakato huo kama kutatokea upungufu au hitilafu katika kiwango cha homoni ya testosterone inaweza kupelekea mtoto kuwa na uume mdogo ukubwani.
Sababu nyingine za kuwa na kibamia ni pamoja na:
1) Kupiga Punyeto Kwa Muda Mrefu.
Kupiga punyeto kwa muda mrefu hulegeza misuli ya dhakari kwa hiyo ikifanyika muda mrefu hupelekea size kupungua.
2) Kuwa Na Kitambi.
Kadri mafuta yanavyoongezeka tumboni, size ya uume hupungua kwakuwa mafuta yataenda kuziba mirija na misul kile kiwango cha damu kitapunguwa na kusababisha uume kukosa nguvu, na ukuaji kwa kuwa damu haipit ipasavyo
3) Uzee.
Kadri Umri unavyozidi kwenda uwezo wa seli za dhakari unapungua na kusababisha size kupungua.
4) Ugonjwa Wa Ngiri.
Ugonjwa huu huvuta dhakari kurudi ndani. Ngiri au hernia inakwenda kukata misuli ya uume kabisa na unakuja kukosa mpaka nguvu za kiume kiujumla ukiwa na hernia tibu kwanza maana unaweza poteza uwezo wa kuzalisha au ukizalisha unaweza kuja kumuathiri mtoto.
5) Magonjwa Ya Utotoni Kama Vile Bakteria Au Fangasi Sehemu Za Siri.
Fangasi zinakwenda kuathiri mishipa ya damu, na kusababisha Kukosa ukuaji, Jambo hili hufanya uhafifu wa ukuaji wa dhakari.
6) Kutoshiriki Tendo La Ndoa Mara Kwa Mara.
Hii hufanya dhakari kusinyaa .na ndio maan wale wote wanaotumia BIG BIG EXTRA kwa ajili ya kunenepesha na kurefusha nawaambia wafanye mapenzi mara nyingi ili kuruhusu misuli ya uume kunyooka.
7) Upasuaji Wa Tezi Dume.
Unapofanyiwa operesheni ya tezi dume kutokana na changamoto kama vile saratani ya tezi dume, uume unakosa nguvu ya kukua na huanza kudumaa.
8) Uvutaji Wa Sigara Kupindukia.
By the way, hivi unajua kwamba dawa ya asili iitwayo BIG BIG EXTRA itakusaidia kutatua changamoto yako ya kuwa na uume mdogo yaani kibamia kwa muda mfupi? Ndiyo ni kweli kabisa, kupata dawa hiyo wasiliana nasi kwa simu namba 0625 305 487.