Je Unasumbuliwa Na Fangasi Ukeni Kwa Muda Mrefu? Kama Jibu Ni NDIYO Soma Hapa

Ukeni ni makazi ya Bacteria...

Ukeni kuna bacteria wazuri wanaoitwa Lactobacillus

Lakini pia,

Kunabacteria wabaya kama vile E-coli , mycetes na wengine wanaoweza kusababisha Maambukizi ukeni

Wote huishi pamoja bila madhara, wakiendelea kupambana kila siku na kubalance kiwango chao

Bacteria wote hao huwa hawaleti matatizo, mtu hupata Maambukizi baada ya haya kutokea...

1) Baada ya mabadiliko ya uke PH au acid ukeni yanayoweza kusababishwa na...

Kufanya mapenzi,

mbegu always ni alkaline hivyo hupelekea mabadiliko ya Bacteria 

Ambapo mabadiliko ya PH ni sawa na kuharibu Mazingira yao 

Hilo hufanya bacteria wabaya kumultiply au kuongezeka kwa haraka kiasi ambacho bacteria wazuri hushindwa kuwazuia

Kuosha uke kwa sabuni au marashi

Hedhi inavyotoka pia huharibu PH ya uke na kuongeza hatari

2) Kuvaa nguo za kubana

Uke unahitaji hewa safi kama sehemu nyingine 

Nguo za ndani zinazobana, majinsi hupelekea uke kushindwa kupumua na hali ya joto kuzidi

Hilo husaidia ukuaji na kuzaliana kwa kasi kwa Fangasi ukeni na kumdhuri mtu

3) Kujipangusa vibaya, kutoka nyuma kuja mbele na kuvaa nguo chafu

Huwafanya hata wale bacteria ambao wanaishi kwenye kinyesi kuja kwenye uke, 

hapo huongeza hatari ya kupata Maambukizi 

4) Njia za uzazi wa mpango na Dawa kila mara

Dawa za kuweka ukeni, hupelekea mabadiliko ya PH

Lakini pia antibiotics huua aina zote za bacteria, hivyo hata bacteria wazuri hufariki ambao ndio walinzi (Lactobacillus )ukeni

Njia za uzazi wa mpango hasa za uingizaji wa kifaa kwenye mji wa mimba

Kama usafi hautafanyika basi hutengeneza njia ya bacteria kuingia kwenye kizazi 

5) Kutumia mate ukeni au kunyonya

Hupelekea bacteria wa mdomoni kuja ukeni, ambapo hupelekea mabadiliko ya tofauti 

Hali inayoongeza udhaifu na mwanya wa bacteria kuingia kwenye kizazi 

By the way, kama wewe unachangamoto ya Maambukizi ukeni 

Basi wasiliana nami kwa kubonyeza hii link: https://wa.me/+255625305487 ili kupata matibabu ambayo yatakufanya usiwe mtumwa wa dawa kila mara

Kumbuka: kupuuzia maambukizi ukeni ni kupuuzia uzazi wako, ni kupuzia ndoa yako na ni kupuzia uhai wako