“Je, una utando mweupe kwenye ulimi?

Inawezekana ni maambukizi ya fangasi aina ya Candida. 🦠

Husababishwa na kinga dhaifu, kisukari, au matumizi ya antibiotiki kiholela💊

Unatibika! ✅ Usipuuzie! ⚠️

Usafi wa Kinywa ni muhimu. 🪥